FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

20210403_222426.jpg
 
Tumvumilie, kocha Ana maana yake!! Atakapoanza kufunga dunia itamkoma!! Kocha analea kipaji na ana uhakika malezi haya yatalipa baadaye!! Huo ni ukomavu wa kocha, Kuna vitu adimu ameviona kwa Mugalu!
umeona kitu gani zaidi ya kushindwa kufunga akiwa yeye na kipa? mechi zote 2. Kifupi tunamuomba kocha aanze scouting ya striker hata wa 500m.
 
Back
Top Bottom