Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Tuna taka kifurushi cha wiki
 
Mbona Simba uwa wana ahidiwa fedha ndefu na wanatandikwa kila wakikutana.
Sasa kwa Simba hii ata uhaidi bilion moja kwa kila mchezaji itafungwa na Yanga.
Quality ya Simba ipo chini dhidi ya Yanga ya sasa.
Sawa klabu bingwa Afrika robo fainali....Yanga vs Nchemba fc
 
Mtu anieleweshe kwa nini Hamza ameitafuta ile kadi ya njano. Tuliona Kapombe aliitafuta yake juzi ili akose mechi hii aanze upya. Sasa Hamza naye ameitafuta yake au vipi maana mechi ijayo ya ligi inaweza kuwa dhidi ya Yanga.
 
Hawa Dodoma jiji wameingilia tu kipigo kisichowahusu ona sasa. Lakini ngoja tumkanye kwanza mtoto, tutakuja Kwa mkubwa
 
Mtu anieleweshe kwa nini Hamza ameitafuta ile kadi ya njano. Tuliona Kapombe aliitafuta yake juzi ili akose mechi hii aanze upya. Sasa Hamza naye ameitafuta yake au vipi maana mechi ijayo ya ligi inaweza kuwa dhidi ya Yanga.
Inawezekana maana mechi na Yanga alipata kadi ya njano pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…