FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Kama mlivyoshirikiana kwenye maandalize..shirikianeni kwenye kuomboleza
 
Leo tumeshinda kamoja kama kawaida yetu na dakika 3 zimeongezwa wala hakuna lawama kwa waamuzi. Hakuna tena hujuma za 50m kutoka kwa KIGOGO asiye na jina. πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…