FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Leo tumeshinda kamoja kama kawaida yetu na dakika 3 zimeongezwa wala hakuna lawama kwa waamuzi. Hakuna tena hujuma za 50m kutoka kwa KIGOGO asiye na jina. πŸ˜‚
Ulitaka washinde ngapi kwani nechi ya yanga na dodoma jiji? Mashosti wanapeana migoli bwerere, kenge nyie
 
Reactions: BRN
Deus Elias MPANZU Kaseke
Mechi 3
Goal 0
Assist 0
Chance Created 0

Mikimbio 100Km
Acheni porojo, mtu ndio kwanza ameanza mmeanza kumuwekea takwimu, tupe na takwimu za kina Mzize, Musonda, Dube na Aziz wakiwa na idadi ya mechi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…