Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombea tuipate tufunge,Wazee wagusa anguka,wazee wa penait
Wamewanyima watoto kona😃😀😀Wazee wagusa anguka,wazee wa penait
Refa analesta ungeseHi game ina red card
DuUtashangaa mechi inayochezwa leo ni kati ya Simba na Singida Big Stars lakini utawaona mashabiki wa Yanga wanakuja hapa kutunisha vichwa na makalio na kuleta ubishi usiokuwa na kichwa wala miguu. Haya majitu ya Yanga hayako vizuri vichwani mwao!
Taratibu mbona mnahasira hivyo SingidaMaamuzi ni choko...Kona ya kuelekezwa simba inaamulia goal kick.
Muamuzi msaidizi ndo kazingua.Maamuzi ni choko...Kona ya kuelekezwa simba inaamulia goal kick.
Huyu hajawahi kuwa muamuzi mzuriMaamuzi ni choko...Kona ya kuelekezwa simba inaamulia goal kick.
Yupi sasa, mwamuzi msaidizi au Lawi?Huyu hajawahi kuwa muamuzi mzuri
Lawi...yeye ndio centre refereeeYupi sasa, mwamuzi msaidizi au Lawi?
inaitwa maelekezoMaamuzi ni choko...Kona ya kuelekezwa simba inaamulia goal kick.