Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

Uto leo wanaliwa asali ni suala la muda tu
 
Mlungula umeshatembea, hakuna mechi hapo. Forward line na kiungo yote hiyo ya Tabora imepokea zile SMS ndiyo maana wanakimbia kimbia tu.
Kinyeo kishalegezwa lala sasa... Hizi ndio kauli zenu😃😃
 
Vipi kinyeo kimelegezwa 🌝🌝
Ni mapunguani wa akili tu ndio badala ya kufanya utani wa kistaarabu huamua kutoa matusi. Mashabiki wenye akili timamu hutaniana bila kutukana
 
Mh hii sub ya Max kwa Ikanga Lombo sijaielewa kabisa. Max anauwezo mzuri wa lukaba na kuanzisha mashambulizi ukizingatia Aucho hayupo leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…