Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Nani kasema?Aisee.
Wanaosema ni saa kumi wanadanganya?
Mi kwakweli sionagi umuhimu wake heri MsuvaMuhimu wazee waliopitwa na wakati wakae inje, hatutaki siasa,
Tumeshinda bila yeye mechi nyingi tu
4:00 pm sio saa 4 usiku Mzee.Saa nne usiku
Jamaa ameona 4:00 pm itakuwa! π€£π€£π€£nyumbu wewe. π€£
Saa kumi we babu. angalia ratiba tena.Saa nne usiku