Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Bamutu ba Kongooo watatuumizia wachezaji wetu jamaniii uwiiiii!
Tuna jambo letu tarehe 19 asee

Cc Smart911
 
Ile ya Mo Hussein haikua hata faulo?? Au hata kadi?
 
Halafu badae utasikia wajinga wajinga fulani wanakwambia Wydad wametuma ofa 7 kwa Mzize lakini zimekataliwa nye nye nyee
Inaonekana unatamani hilo dili lisifanikiwe.

Wabongo tunaombeana sana njaa.
 
Wa Congo wanapiga viatu haswa na refa anawaacha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…