Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Ulivyo Kiazi Pitia Ujinga Ulio uandika
 
Mbona freshi tu rais na chama chake kuhusishwa na mafanikio ya Timu ya Taifa. Stars ishinde tu isije ikawa tunatazama timu za mataifa mengine AFCON wakati nasi tuna timu ya Taifa kuweza kufuzu. Siasa ndivyo zilivyo kujikweza kwenye mazuri yote yanayotokea
 
Hivi Kelvin P. John mshambuliaji wa fc Aalborg ya denmark hajaitwa kwenye timu ya taifa ya Tanzania
 
Ni afadhali timu ya Tanganyika wafunge goli jioni wataweza kulilinda kuliko kufunga mchana.....itakuwa ngumu kulinda goli hilo.

Mungu ibariki Tanganyika, Mungu wabariki wachezaji wa Tanganyika. Amina..
Ushamchanganya Mungu hapa. Kila akiitafuta Tanganyika uwanjani haioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…