Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,133
- 3,758
Yupo Fit na Upumbavu wake UwanjaniNi fitina tu za Julio na Mgunda.
Kijana bado yuko fiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Fit na Upumbavu wake UwanjaniNi fitina tu za Julio na Mgunda.
Kijana bado yuko fiti.
Makosa wametafutiwa na wale viherehere waliojimilikisha timu ya Taifa.Ila mm nawaonea huruma wachezaji wetu hawana makosa..watieni moyo
SijuiKamuambia kocha hajaumia bado anaweza kuendelea, unajua maana ya kugoma?
Na TukipigwaHii mechi tunapigwa hakuna dalili za goli,wametuzidi itakuwa kama ya Congo DRC
Ingawa ni mpinzani nimependa jamaa alivyoucontrol ule mpira ni kwa ufundi mnoAlmanusura Guinea wapate goli baada ya shuti lililopigwa kwenda kugonga mlingoti wa Stars
Kabisa. TFF inatakiwa isimame imara dhidi ya CCM kuifanya Taifa stars kama timu ya chama chao.Makosa wametafutiwa na wale viherehere waliojimilikisha timu ya Taifa.
Kweli, ameongea pwentiAfadhali umeongea poit
Hats offIngawa ni mpinzani nimependa jamaa alivyoucontrol ule mpira ni kwa ufundi mno
Mmeona kilichotokea? Mzize kakataa kutoka...
Duh!..Ni uhuni gani mzize anaufanya hapa leo?