Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Wachambuzi walikua wanasubiri tusifuzu waanze kukosoaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
MUNGU mkubwa nyie tumefuzu ! Iliowachoma na iwachome sana
 
Duuh! Kufuzu kimagumashi!!? Mbona mpira wa miguu ni mchezo wa wazi na takwimu zipo wazi. Kwa nini awali tulikuwa hatufuzu, mfano, 1990-2000, 2000-2010?
 
Wanafiki utawajua tu.Mnapoimba nyimbo za kuwasifu Mo na GSM huwa wanavuja jasho?Si wafadhili tu wa kuweka mazingira mazuri timu zishinde?
Sasa kwa nini iwe nongwa kwa Rais wa Nchi Mama Samia kuwapa motisha ili wawakilishe Taifa vizuri?
Kwanini iwaume nyie wanafiki Taifa Stars ikifadhiliwa kwa kupewa Ndege ya Kusafiria na pesa za hongera?
Halafu akisifiwa kwa mafanikio ya Taifa Stars mnanuna ila wakiimbwa kina Mo na GSM mtakimbia mchakamchaka na vifua wazi.
Tanzania Kwanza.Hupendi kajinyonge.
 
Jameni Wonder kid clement mzize mbona anakuwa taita uwanjani, anagomaje kwenda bench, au hii timu ni ya mzee mzize?
Yeye ni nani.
We jamaa mtu wa mpira kweli? Mbona katoa ishara kwa kocha kwamba yuko fiti na kocha kaelewa. Ile haikuwa sub ya kiufundi ukumbuke.
 
Mkuu hiyo hiyo tofauti inayo kufanya uwaone wajinga ndio hiyo hiyo inayowafanya wao kuwa na mtazamo tofauti.

Hiyo ndio siasa unayoiogelea. Ndio maana ikaitwa maji machafu!!!
 
Ushindi huu na kufuzu umewaudhi wavimba macho .Hameni Nchi.Ni kosa kuchukia timu ya Taifa lako kwa kutofautiana kisiasa.Tanzania Kwanza.
Mkuu sio kosa kabisa, wewe mbona unatofautiana nao sasa hivi hapa na hakuna aliye kuambia uhame nchi.

Mkuu huna hati miliki ya nchi hii wala ya mioyo ya watanzania!! Kila mtu anautafsiri uzalendo jinsi apendavyo na jinsi aelewavyo.

Hapa sio kwa kiduku, hata kama ungependa iwe hivyo!!!
 
Nilijua tunacheza na Timu ya BALTAZARy kumbe siyo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ .
 
Ubaya hatufiki popote tunaenda kutolewa hata robo hatufiki nasubiri kucheka hahaha
Mkuu usiseme hivyo, mpira ni bahati, maandalizi na juhudi.

Tuwatie moyo na kuwaombea wachezaji na wakufunzi wetu waendelee kufanya vizuri katika mechi zijazo.

Hutapungukiwa na chochote Mkuu.
 
Mkuu usiseme hivyo, mpira ni bahati, maandalizi na juhudi.

Tuwatie moyo na kuwaombea wachezaji na wakufunzi wetu waendelee kufanya vizuri katika mechi zijazo.

Hutapungukiwa na chochote Mkuu.
Maneno hayo alikua ananiambia Mzee mmoja mtu mkubwa sana huko kwenye michezo maana anajua wachezaji wa Tanzania walivyo, jana wamekula bingo zaidi ya millioni 700 mezani sasa watapanda dau mfano wakisema ili waende robo basi wawekewe billion 20 kwenye akaunti, mama kizi yupo tayari kuwapa billion 20 ili waende robo? Km jibu ni hapana basi tegemea mwisho ndio hapo qualify unatolewa group stage kupita kwenyewe umepita kwa ndondokela pongezi hizi ni maalumu kwa Rais Dkt.
 
πŸ™
 
Duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…