Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Mama, mama. mama, mama.
SI mfuatiliaji wa masuala ya mpira ila leo tukitandikwa hata goli mbili au tatu hivi nitafurahi sana lazima nipige konyagi ndogo na kitimoto choma kilo moja.
Masuala yanayohusu umoja wa kitaifa yakikabidhishwa kwa mtu au kikundi cha watu wenye itikadi za ki kabila, siasa au dini ni lazima umoja huo upotee. Viva Guinea, viva
 
Naibu Waziri wa michezo alisema ushindi dhidi ya Ethiopia ulikuwa ni ushindi wa mama kizimkazi.

Mimi nasema hivi, lolote baya liwakute Starz, timu ya Taifa ni timu yote sote na sio ya mtu au watu ama kikundi fulani.
 
Acha kujikausha. Kinachokera ni kwamba wakishinda sifa zooote mnazihamishia kwa Rais.

Mnatukera Sana.
 
Serhou Guirassy
Atatuazibu huyu leo, ni striker matata sana
 
Wakati Yanga wanaingia uwanjani bure kwenye baadhi ya mechi, kuna watu waliwatukana sana wapenzi wa Yanga. Tuone kama bure ya leo matusi yataendelea.
 
Unajua maana ya mshikamano wa kitaifa kuku wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…