Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Tunamshukuru sana raisi kwa kutuwezesha kupata hoja kama hii. Sera zake za mitandao imeliwezesha hili.Tufungwe ili lawama ziwe za watu wote au tushinde ili asifiwe mama pekee yake?
Mimi naona Tufungwe ili lawama tupewe wote hadi watoto ambao bado hawajazaliwa.