Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #81
Stars waongeze speed ya kushambulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikosi mkuu, wameanzaje.Its match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD, DStv pia kupitia Chaneli 225.
Mliopo Dar muende kwa wingi uwanjani, Kiingilio Bure.
Live updates zitakujia hapa..
Mpira umeanza ikiwa dakika 3
Dakika, 5 Taifa Stars wametengeneza nafasi nzuri sana hapa
Kikosi mkuu, wameanzaje.
Nasoma update leo niko mbali na uwanja/tv
Vipi mwitikio wa wananchi?
Ahahah anawajua WaTz huyo...hachelewi kuona gizaNa analala kabisa chini akidaka
Umeanza vuruguHee wamevaa kitambaa cheusi cha Shomari kimekua kama cha uganga...hahahah
😂😂Ahahah anawajua WaTz huyo...hachelewi kuona giza