Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Nina wasiwasi na huu upande wa Kapombe.

Mzize anachelewa kufanya maamuzi.

Tunazembea kwenye kuzuia.
 
Haina maana kwamba namchukia Rais , la!
Ila hii tabia ya kila jambo kutukuzwa Rais inakera.
Wafungwe tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…