FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Tukaze mkia kama Yanga wanavyokaza mwiko.

Baada ya kuona Simba ana mkia Utopolo akaona isiwe taabu akaweka NYUMA MWIKO
 
Mnakumbuka mliokuwa mnafuatilia mpira 1990 Mwameja Mohamed Mwameja ndie alichangia kwa kiasi kikubwa Simba kufika fainal 1993. Alikuwa kipa bora kuwahi kutokea Tanzania.
Tumshukuri sana Kamara.
HT
0-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…