FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

TAKWIMU ZA KIPINDI CHA KWANZA. JE, SIMBA WANAPASWA KUFANYA NINI KIPINDI CHA PILI? ENDELEA KUTIRIRIKA KUPITIA COMMENTS
Mambo ni moto, kipindi cha pili Simba watafute goli la chapchap then watulize mpira
 
Tumezidiwa mkuu, Wapinzani wamefanya homework yao vizuri. Zuia mpira usipande kumfikia Mpanzu na Kibu kisha shambulia.
Shida watakuwa na pumzi..sec half wanaenda kuteseka.
 
Reactions: Tsh
Ramovic alikuwa sahihi kuhusu ligi yetu kukosa intensity. Ona katimu ka kawaida kabisa huko South kanavyoipelekea moto timu ambayo ni title contender kwenye ligi yetu.

Mashujaa na wenzake hawewezi kukupatia upinzani kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…