FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Ingekua li NBC hapo ni 1:1 🀣 ili uone ligi yetu tupo nyuma
 
Waache upuuzi.. Tuna panga na mafyekeo huku tayari kufyeka vichaka vya medali
 
Hizi camera zao wakizooom unazan TV inamawenge 🀣 kidogo nianze kufoka hapa home wameharibu TV
 
Mechi ya Orlando niliacha kuangalia dakika ya 89 lakini dakika ya 90 Mwarabu akafa!
Mkuu kwenye hii mechi mi nimeishia hapo niliposema.

Tukutane baada ya dakika 90

Ups and downs zimekuwa nyingi kama miguu ya fundi cherehani.

Kiukweli nimeshindwa ku handle hiyo hali.
 
Dah, Mambo ya kukaa na mpira Ateba kidogo achome, kaamua kuvuta jezi.
 
Aiseeee hizi comments,wengine umeme hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…