Baada ya mechi hizi beer zitanyweka sana. Wahi zako mapema.... View attachment 3317532
Wakora waitu😎Mubashara. .
Simba mkishinda nawapa mke wangu
Huna mke nyau wewe, toa ahadi ingine wana wakupanueSimba mkishinda nawapa mke wangu
Weka picha yakeSimba mkishinda nawapa mke wangu
DuuuuhWakora waitu😎
Wewe utajisikiaje tukipita leo?Simba sioni mkitoboa hii game.. mnajiskiaje kutoka leo?
Hii ni sawa na kuchomoa nyuma mwiko, ni mwikoSimba sioni mkitoboa hii game.. mnajiskiaje kutoka leo?