min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Huu mtanange wa wapi tena bwashee?
Huu mtanange wa wapi tena bwashee?
🤣Hahahah
Sema ile clip ya msemaji wenu nimeifuta. Ningekuwekea hapa usikilize na kujihukumu mwenyeweWazee mnaleta mashindano mmesahau Yanga ni timu ya mpira tamasha la leo ni kutambulisha tu wachezaji pia kuweka umoja mashabik na management basi ayo tu.
Acheni ligi za ajabu tukutane uwanjani mahali palipofanywa tuitwe Yanga huku kwenye matamasha tunawaachia nyie miaka 4 hamna hata kombe mnachekeshwa na Ahmed na Mo..
Hata Zuchu naye anajitahidi kusema ule ukweli. Ubunifu kama wote.Dvoice kajitahidi
Sijaangalia show yake! Babu kumbe unaelewa mziki wa kizazi kipyaHata Zuchu naye anajitahidi kusema ule ukweli. Ubunifu kama wote.
Iyo furahisha tu mzeeSema ile clip ya msemaji wenu nimeifuta. Ningekuwekea hapa usikilize na kujihukumu mwenyewe
Macho 👀 hayana mipaka mjukuu wangu.Sijaangalia show yake! Babu kumbe unaelewa mziki wa kizazi kipya
Hichi ni kiota cha nini , nimekiona kwenye sosho midia mojaSijaangalia show yake! Babu kumbe unaelewa mziki wa kizazi kipya
Ubunifu huo.Hichi ni kiota cha nini , nimekiona kwenye sosho midia mojaView attachment 3470537
ndani yake alikua mke wa diamondHichi ni kiota cha nini , nimekiona kwenye sosho midia mojaView attachment 3470537
Boga alilotokea ZuchuHichi ni kiota cha nini , nimekiona kwenye sosho midia mojaView attachment 3470537
😁 akaingia na bustani ya Eden alooNasikia kuna mtumbuizaji kavaa foili huko 😅🙌