FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Kaka,Weka haya meneno, Chama hataweza kucheza sababu ya bullying atapata game shake.Baleke sio Striker wa kumuhofia wala dube,Tunakaba Pacome tu na Azizi mechi tumemliza
Sawa kaka baadae sio mbali 🤣😁😁
 
Picha limeanza, nimelalia jezi ya Yanga leo.

Tutafune hilo kubwa jinga kelele ziishe sasa, ishakuwa kero. Msimu uliopita palitulia tuli, huu nao tukate midomo yao mapema.
Umekojoa lakini.Maana utaweweseka.Kesho nakutia 2 Unaenda kulala na kulaumu Chama na Dube
 
Kesho li Aziz Ki limepania kumpiga tobo Debora, nasikia linasema eti litamfuata kila atakapokwenda mpaka limpige tobo ndiyo linaenda upande wake.

Kuna uwezekano mkubwa mechi ikachezwa dk 45 tu ili simba wajiepushe na dhahama. Maana 1st half watakuwa waaesha chezea 5
We nae bwana,tengua kauli yako. Hakuna Simba. Ni Hashula. Ukitaka uongezee Bibi Halusi
 
Back
Top Bottom