Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Mwambie mwanzisha uzi atoe picha lake hiloMatch Day.
Simba SC vs Yanga SC
🛡️ Community Sheald Semi-Final
🏟️ Benjamin Mkapa Stadium
⏰ 7pm
Aweke kitu kama hichi
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie mwanzisha uzi atoe picha lake hiloMatch Day.
Simba SC vs Yanga SC
🛡️ Community Sheald Semi-Final
🏟️ Benjamin Mkapa Stadium
⏰ 7pm
😀😀😀Nitahofia zaidi Yanga ikicheza na Kimbangulile FC ya mbagala kuliko Simba hii mbovu , mechi nyeupe kabisa.
NdotoNitahofia zaidi Yanga ikicheza na Kimbangulile FC ya mbagala kuliko Simba hii mbovu , mechi nyeupe kabisa.
Mimi naipenda Simba Sports ClubHivyo Mtani wangu na wewe ulikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kiwania kuanzisha uzi? (Jokes) 🤣🤣
Leo ndio leo Mtani.
Amka kumekucha mdauLeo kutakuwa na Hat trick kutoka kwa Prince Dube. Naiona Yanga ikicharaza Simba goli zaidi ya 8. Hii mechi itaandika historia mpya kwenye tasnia ya soka nchini.
Nasubiria red card niko pale na essi
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.
Nilishalala nimeamkaHulali?
Mkiwa wabovu hata mara tano mnafungwa mkuu..Nasema hivi hatufungwi mara tatu mfululizo.