FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Yani mzamiru anaanzaje mbele ya ngoma na okjepha, huko kote mbali, hata yule kagoma tu mzamiru hamfikii kwa sasa.

Hivi vizee vichawi vichawi vichawi viachwe..

Ngoja tuone lakini kiungo cha mzamiru hapana, nakikataa mapemaaa
Lawama zishaanza!! WoyoooooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi sipendi Simba muwe na amani kabisa
 
Ichi kikosi kumbe nicha simba kidogo nizani pamba jiji fc watu wapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…