FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Kaka,Weka haya meneno, Chama hataweza kucheza sababu ya bullying atapata game shake.Baleke sio Striker wa kumuhofia wala dube,Tunakaba Pacome tu na Azizi mechi tumemliza
Sawa kaka baadae sio mbali 🤣😁😁
 
Picha limeanza, nimelalia jezi ya Yanga leo.

Tutafune hilo kubwa jinga kelele ziishe sasa, ishakuwa kero. Msimu uliopita palitulia tuli, huu nao tukate midomo yao mapema.
Umekojoa lakini.Maana utaweweseka.Kesho nakutia 2 Unaenda kulala na kulaumu Chama na Dube
 
We nae bwana,tengua kauli yako. Hakuna Simba. Ni Hashula. Ukitaka uongezee Bibi Halusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…