The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Kesho li Aziz Ki limepania kumpiga tobo Debora, nasikia linasema eti litamfuata kila atakapokwenda mpaka limpige tobo ndiyo linaenda upande wake.
Kuna uwezekano mkubwa mechi ikachezwa dk 45 tu ili simba wajiepushe na dhahama. Maana 1st half watakuwa waaesha chezea 5Kesho atageuka Aziza Huyo
Low IQ personaKesho li Aziz Ki limepania kumpiga tobo Debora, nasikia linasema eti litamfuata kila atakapokwenda mpaka limpige tobo ndiyo linaenda upande wake.
Kuna uwezekano mkubwa mechi ikachezwa dk 45 tu ili simba wajiepushe na dhahama. Maana 1st half watakuwa waaesha chezea 5
Hulali?Tusubiri tuone
Kitakuwa ni kiherehere tu bila shaka. Na hii kitu huwa inapoteza kabisa maana ya uzi husika. Imagine mtu anaanzisha uzi saa sita ya usiku, na wakati mechi inachezwa saa moja jioni!!Majamaa hua mnaniacha hoi, nimeshaona nyuzi kama 5 hivi suley, kiwatengu, cute wife sijui na nani, hua Kuna posho?
Suley mitano tena!! π€£π€£π€£π€£
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.
Kabisa Mkuu maneno yetu ni machache tu na yenye kueleweka.Kama kawaida YANGA BINGWA.
Daima Mbele Nyuma Mwiko jirani.Kila la kheri yanga timu ya mrembo Bantu Lady na ya Jirani Shadeeya
Kila la kheri Simba timu ya ephen_ timu yenye wadada wazuri wote Tanzania
Kabisa Mkuu. π€£Tahadhari mzee wetu Mangungu asiguswe kwa lolote maana leo tunaenda kutoa seminar elekezi , ni mwendo wa kugawa wastani kwa idadi
Hivyo Mtani wangu na wewe ulikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kiwania kuanzisha uzi? (Jokes) π€£π€£Cute alimuwahi lakini jamaa ni Admin si unaona amempandia kwa juu??
Nilijua hili π€£π€£π€£.
Mwanzisha huu uzi ni kolo
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.