FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Mkuu,
Tunakusubiri
😂😁😂😂🤣😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Ahadi itimizwe naunga mkono hoja 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Cc ephen_
 
Hahaha atawagharimu hyu shida anataka awe maarufu kuliko Azizi...au Pacome...ataanza kuwanunia muda si mrf 😃😃😃
Muhimu simba ifungwe
 

Attachments

  • Screenshot_20240808-214141.jpg
    Screenshot_20240808-214141.jpg
    67.8 KB · Views: 3
Mkiwa mnaendelea kufurahia kufungwa na kufunga magoli,someni humu Kuna mambo mengi tunafungwa bila bila . Tunadanganywa goli Moja million Tano.
 
Tukutane next Derby!!
Yaliyopita si ndwelee, tugange yajayoooo!!

Simba nguvu 1.
 
Nyie uto leo mnalia sana kuhusu offsides...ni kwa sbb kiwango chenu kilishuka...kimeshushwa yani kwa lugha nyingine na wajuba kina Debora...😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom