FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Leo nimechoka, ngoja nipumzike kesho ndio nitazifufua posts zote za shombo.
Tuone ni midomo ipi iliyofungwa…
Mdakuzi
Ni matokeo ya bahati mbaya tu, so leo mlikuwa wenye bahati. Mlitumia vizuri kosa la timing ya mtego wa kuotea, na mkaamua matokeo.

Hongereni, ila kwenye ligi tutarudi imara zaidi na tutachukua points zote inshallah, maana timu tunayo msimu huu. Naisubiti derby ya ligi kwa hamu.

Ova
 
Kwamba Mtaendelea kuleta timu.
 
Safi sana hii, ila kiukweli leo Mmejitahidi sana....Mpira umepigwa
 
Ukweli usemwe; leo Simba imecheza vizuri sana na Yanga imecheza chini sana ya kiwango, hasa kwenye umaliziaji. Nadhani Yanga itajirekebisha na Simba itaongeza makali
 
Ulitaka na leo udhalilike kwa Gori 5?
We dogo hujui kabumbu, umeona kitu gani cha ajabu pale zaidi ya kukamia, Simba ile kutoa maboko na kushindwa kufanya covering ndo kumefanya wafungwe, Ila Bora wamefungwa kwasababu makosa hayaendi kujirudia Tena.

Ngoja tukajipange Tena, next game ngogwe fc mnakufa 3-0.
 
Ukweli usemwe; leo Simba imecheza vizuri sana na Yanga imecheza chini sana ya kiwango, hasa kwenye umaliziaji. Nadhano Yanga itajirekebisha na Simba itaongeza makali
Mechi ijayo gamondi anakula rungu tatu kwenye kile kipara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…