FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Wadau aisee sijui kwanini huyu jamaa ni shabiki wa yanga siku ya mechi ya simba na yanga ikatokea ubishani Fulani mda huo yanga anaongoza Gori 1 Sasa kulikua na mashabiki wa simba 2 walikua wanamaindi jamaa anavyotoa kauli mbovu wakamwambia kwani wewe unasemaje ndio ugomvi ukaanzia hapo.

Aisee jamaa alichakazwa na raia wa 2 tu, wale jamaa kugundua alikua mjeshi mtaani hawaonekani Kwa mara ya Kwanza najionea mwanajeshi akipigwa aisee jamaa alichakazwa
 
Wana chapika tu sana mbona kuna mmoja week ilio pita ali panda boda aka goma kulipa alichapwa ndondi hadi tukaenda kuamua
 

Attachments

  • FwMLmOmWYB0BiZR.jpeg
    86.4 KB · Views: 3
Wao hawanashida. Watawasubiri hapohapo kukiwa na mechi nyingine. Ambao hamkuhusika, this time mtahusika 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…