Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengi ninaowajua waliooa ni wachache sana walio team moja. Wengi ni wapinzani na wana enjoy life. Nyumba ikiwa na huzuni wote haifai. Mmoja akifurahi atachangamsha nyumba. Ngoja nijibebe nimwite boda anipeleke nikaone maana nilipo na kwenye mechi ni nauli 5000So huipendi Yanga!
Hatuwezi kukaa nyumba moja🙄
Niombee nifunge leo😉Watu wengi ninaowajua waliooa ni wachache sana walio team moja. Wengi ni wapinzani na wana enjoy life. Nyumba ikiwa na huzuni wote haifai. Mmoja akifurahi atachangamsha nyumba. Ngoja nijibebe nimwite boda anipeleke nikaone maana nilipo na kwenye mechi ni nauli 5000
Anapita mmoja tu kukutana na AzamHii mechi itaisha kwa sure ya 2 kwa 2
Nasikia simba walimtuma Mobeto kumaliza uloto na pumzi ya Aziz.View attachment 3064196
Kesho lazima apige kwenye mshono 💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛 Kila la kheri Yanga SC yellow national Cc ephen_
Tunzeni hiiHii mechi itaisha kwa sure ya 2 kwa 2
Unyama sana[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 3064672
Anawafunga haoNasikia simba walimtuma Mobeto kumaliza uloto na pumzi ya Aziz.
Wait and seeUnaota
Natumaini leo jezi hazitachomwa moto🔥🔥🔥Picha za saa 3 zimevuja 6 kwa sifuri Cc ephen_ View attachment 3064682
Amewaandaa kisaikolojia, matokeo anayajuwa.Haya sio maneno yangu bali ni maneno ya semaji letu la simba 🦁 ameongea saa moja kabla ya game kuanza:
Kila heri Wapambanaji wetu
Lengo la kwanza la mchezo huu ni kupata ushindi kwa mapenzi yake Mungu
Lakini hatuna presha kubwa, Sote tunafahamu upya wa kikosi chetu, tupo katika mapito ya kutengeneza kikosi imara hivyo chochote tutakachopata ni muhimu kwetu kwa ajili ya kutengeneza baadae yetu
All the best wana Simba wote, Imani yetu ni kufurahi baada ya filimbi ya mwisho.
Naunga mkono hojaNatumaini leo jezi hazitachomwa moto🔥🔥🔥