FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Vamos 💚💚💚💚💚💚 baadae matusi hatutaki ukifungwa kuwa mpole Cc ephen_
20240804_001026.jpg
 
So huipendi Yanga!
Hatuwezi kukaa nyumba moja🙄
Watu wengi ninaowajua waliooa ni wachache sana walio team moja. Wengi ni wapinzani na wana enjoy life. Nyumba ikiwa na huzuni wote haifai. Mmoja akifurahi atachangamsha nyumba. Ngoja nijibebe nimwite boda anipeleke nikaone maana nilipo na kwenye mechi ni nauli 5000
 
Niombee nifunge leo😉
 
Haya sio maneno yangu bali ni maneno ya semaji letu la simba 🦁 ameongea saa moja kabla ya game kuanza:

Kila heri Wapambanaji wetu

Lengo la kwanza la mchezo huu ni kupata ushindi kwa mapenzi yake Mungu

Lakini hatuna presha kubwa, Sote tunafahamu upya wa kikosi chetu, tupo katika mapito ya kutengeneza kikosi imara hivyo chochote tutakachopata ni muhimu kwetu kwa ajili ya kutengeneza baadae yetu

All the best wana Simba wote, Imani yetu ni kufurahi baada ya filimbi ya mwisho.
 
Amewaandaa kisaikolojia, matokeo anayajuwa.
 
Back
Top Bottom