FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Tunaasogeza Makombora yetu karibu na Uzi wa Kihasibu halafu nyuzi za Popoma tutaipiga kwa Makombora ya masafa marefu zote kwa pamoja
 
Vyura wanapiga kelele huku mioyo yao ikidunda. 😀 😀 😀
 
Kuna mtu yeyote mwenye link ya ku stream live hii mechi? Au app inayo stream hii derby. Please naomba msaada
 
Hakuna mtu analindwa mkuu, kuwa na amani
By the way ile nickname uliyosema tukubadilishie ina mtu tayari, chagua nyingine. Tupo nyuma ya muda mpaka sasa
Nitakupa ushahidi.

Niangalizie Mwajuma ndala ndefu 🤣🤣🤣
 
Kila lililo jema kwa Yanga

Daima Mbele, Nyuma Mwiko[emoji172][emoji169][emoji617][emoji169][emoji172]
 
Tunaasogeza Makombora yetu karibu na Uzi wa Kihasibu halafu nyuzi za Popoma tutaipiga kwa Makombora ya masafa marefu zote kwa pamoja
Halafu mjanja sana yule jamaa alishajihami kwa kuanzisha uzi eti baada ya saa tatu asipopatikana basi tujue alipo mtandao unasumbua. 🤣🤣🤣

Usiache kunitag kule kwa Mwasibu. 😅
 
Yaani mpaka hapa nje ya Uwanja makolo tushawapiga nyingi. 😅😅
 
Back
Top Bottom