FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Hakuna timu hapo wachezaji wanakimbiakimbia tu Mo atuachie timu Ong bak aondoke!
 
mwandishi: Kocha hii ni derby ujue
kocha: ubaya ubwela
mwandishi: lakini hiisio mechi ya kawaida we huogopi?
kocha: ubaya ubwela
mwandishi: nakukumbusha mechi zako za pre season ulienda kukipiga na vitimu vya mchangani
kocha: ubaya ubwela
 
ile ni clear penalty tuache ushabiki....alafu cha kushangaza refarii alikua hatua chache kutoka kwenye tukio
Dakika zilishaisha unaliliaje penati ya kipuuzi vile!?
Basi na Aziz Ki angelilia penati,hata Dube pia ilikua penati maana alivutwa jezi.
Acheni lialia za kitoto
 
Dakika zilishaisha unaliliaje penati ya kipuuzi vile!?
Basi na Aziz Ki angelilia penati,hata Dube pia ilikua penati maana alivutwa jezi.
Acheni lialia za kitoto
Mkuu wewe ni mchawi pia
 
Back
Top Bottom