MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Hakuna timu hapo wachezaji wanakimbiakimbia tu Mo atuachie timu Ong bak aondoke!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile ni clear penalty tuache ushabiki....alafu cha kushangaza refarii alikua hatua chache kutoka kwenye tukioya boka waneirudia mara kibao!
Gombana nae mkuu huyu ni mshabiki maandazi.Kwangu mpira ni burudani zaidi kuliko ushabiki..
Hivyo sahau kugombana kisa boli.
Ugua pole mtani......watakurogaaaaaaaMhmm unafki
Ndio mida yako hii😂😂😂Mmemis kupigwa 5
Hadi mashabiki wao dhaifu wa kwanza wao wewe 😁
Refa kawabebaaaile ni clear penalty tuache ushabiki....alafu cha kushangaza refarii alikua hatua chache kutoka kwenye tukio
Kabisa Swahiba offside nyingi zilikuwa za mchongo.Refa leo kawabeba sana makolo
Ooooohhhh kaone eti watakurogaaa😏😏😏😏Ugua pole mtani......watakurogaaaaaaa
Sijiiiiiii aih sijiiiiOoooohhhh kaone eti watakurogaaa😏😏😏😏
Dakika zilishaisha unaliliaje penati ya kipuuzi vile!?ile ni clear penalty tuache ushabiki....alafu cha kushangaza refarii alikua hatua chache kutoka kwenye tukio
Umbwa sanaSijiiiiiii aih sijiiii
Yule golipicha ameuza mechi! Haiwezekani mpira upite katikati ya miguu yake, halafu akashindwa kuuzuia. Bora hata golikipa wetu Manula angekuwepo; asingetobolewa vile! 🥵Leo nani alaumiwe?
Mkuu wewe ni mchawi piaDakika zilishaisha unaliliaje penati ya kipuuzi vile!?
Basi na Aziz Ki angelilia penati,hata Dube pia ilikua penati maana alivutwa jezi.
Acheni lialia za kitoto