FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Penati ya Aziz nayo?au kwakuwa kasema Shaffih? Goli la Pacome na Aziz nayo ambayo refa alisema offside? au nayo mpaka Shaffih aseme.
 
Mbona dube alisukumwa... Je zile zilikuwa offside..??
Achana na Dube Beki wao baada ya ku kucheza mpira, kaenda ku mzoa Aziz K ndani ya 18 ya Goli la Simba na refa hakutoa Penalty
 
Tupo mitamboni tunafurahia kimoko...kutoka 5....
Screenshot_20240806-153856_Instagram.jpg
 
Refa kazingua sana, kawanyima simba penati halali kabisa

Kama haitoshi kawanyima YANGA penati moja na magoli mawili kasema offside

Usahihi wa matokeo ya leo yangekuwa Yanga 4 simba 1
 
Back
Top Bottom