Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
half time lazima sindano zichomweInafungwajeeeeeeeee huku umebana pua
All the worst Utopolo FC. 😎
Nilisema kabla ya mechi na ninasimamia hapo. Maana kelelle zimekuwa nyingi, natamani na leo tungepoteza hii mechi.Hili timu linazingua sana, wasipobadilika leo basi wajipange msimu ujao