Leo hawajachomwa sindano.Baada ya kushtukiwa kuhusu sindano za kuongeza nguvu hii ndio nguvu yao ya asili.Huu ni mwanzo tu.Na kufuru zenu za Ali Kamwe eti labda mfungwe na Mwenyezi Mungu.Mimi leo simlaumu kocha ni mapema sana kumlaumu Gamondi. Leo wachezaji walikuwa hawana Energy yaani hawajitumi unaona kabisa Tabora walikuwa na Energy kuliko sisi hata magoli yalikuwa yanaonekana kabisa kwamba hii move ni goal.
Wamelipwa kweli posho hawa wachezaji?
Hata mti wenye nyoka hushambuliwa pia kwa mawe.Mti wenye matunda ndiyo hushambuliwa na mawe.
Mudi angefanikiwa kufanyapo japo kamuujiza ka kizushi tungekoma wallahi. Pole.Nimewacha siku nyingi kuwanganaa kondoo.
Nikuulize swali?
Nani afanyae miujiza? Mwenyezi Mungu au Binadam?
Hakuna namna yoyote unaweza kufunga Yongaπ π watashinda tu , yanga inafungwaje?
Umughaka alisema hayo mapema mkamnyoosha kwa matusi...Mkude na Sure Boy wana uwezo wa kucheza namba ya Aucho! Lakini hawapewi nafasi. Kwa hali hiyo baadhi yao watahindwa vipi kuwa na fatique!! Wachezaji kila mechi ni wale wale! Na wanacheza mpira ule ule!!
That means kocha ameishiwa mbinu.
Umesema kweli kabisa mkuu huna baya...hata Bantu Lady anajua kumoyo...Utopo kasi yao imepunguaLakini sio huu Utopolo wa msimu huu, hauna matunda.
Au nasema uongo ndugu zangu Kalpana Angel Nylon OKW BOBAN SUNZU Scars
Hapa duniani tumezoea skendo kuzimwa na skendo,Ilianza Uviko ikaja Ukraine,Sativa akazimwa na P Diddy sasa tuchague tuendelee na Baltazary au Tabora United
Umesema kweli kabisa mkuu huna baya...hata Bantu Lady anajua kumoyo...Utopo kasi yao imepungua
Leo mashabiki wa Yonga hata wakinywa maji wanalewa.