Leo hawajachomwa sindano.Baada ya kushtukiwa kuhusu sindano za kuongeza nguvu hii ndio nguvu yao ya asili.Huu ni mwanzo tu.Na kufuru zenu za Ali Kamwe eti labda mfungwe na Mwenyezi Mungu.Mimi leo simlaumu kocha ni mapema sana kumlaumu Gamondi. Leo wachezaji walikuwa hawana Energy yaani hawajitumi unaona kabisa Tabora walikuwa na Energy kuliko sisi hata magoli yalikuwa yanaonekana kabisa kwamba hii move ni goal.
Wamelipwa kweli posho hawa wachezaji?