Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Mimi leo simlaumu kocha ni mapema sana kumlaumu Gamondi. Leo wachezaji walikuwa hawana Energy yaani hawajitumi unaona kabisa Tabora walikuwa na Energy kuliko sisi hata magoli yalikuwa yanaonekana kabisa kwamba hii move ni goal.
Wamelipwa kweli posho hawa wachezaji?
Leo hawajachomwa sindano.Baada ya kushtukiwa kuhusu sindano za kuongeza nguvu hii ndio nguvu yao ya asili.Huu ni mwanzo tu.Na kufuru zenu za Ali Kamwe eti labda mfungwe na Mwenyezi Mungu.
 
FB_IMG_17310032423589100.jpg
 
Nimewacha siku nyingi kuwanganaa kondoo.

Nikuulize swali?

Nani afanyae miujiza? Mwenyezi Mungu au Binadam?
Mudi angefanikiwa kufanyapo japo kamuujiza ka kizushi tungekoma wallahi. Pole.
 
Mkude na Sure Boy wana uwezo wa kucheza namba ya Aucho! Lakini hawapewi nafasi. Kwa hali hiyo baadhi yao watahindwa vipi kuwa na fatique!! Wachezaji kila mechi ni wale wale! Na wanacheza mpira ule ule!!

That means kocha ameishiwa mbinu.
Umughaka alisema hayo mapema mkamnyoosha kwa matusi...
 
Back
Top Bottom