kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hatari sana!Refa anawabeba Yanga lakini ni mzigo mzito hawabebeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana!Refa anawabeba Yanga lakini ni mzigo mzito hawabebeki.
Sasa magoli yanaingiaje?sema unaweka mahaba tabora hachezi mpira anacheza faulo na kupoteza muda
😄😀😃😆ngoja tujipange upya kipindi cha 2
Hivi si alimwita na yule zozwa akabusu kiatu chake siku yao ile.Kazi aliyotumwa, anaifanya ipasavyo. Yule jamaa mfunga viatu siyo wa kumwamini. Anakula huku na huku😃😀😄😄
Typing error 😂😂Yanga 6 0 Tabora hutaki andamana
Mwana fa aliwahi semaDiarra hamna kipa pale
unanikumbusha kipindi cha sindano 5 za moto kilikuwa R.F.A daaah na tarehe 5 mtu akala sindano 5Too bad.. inabidi HT tuongeze dozi za Sindano
Leo mbuzi kafia kwa wauza supu kummk🚮Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.
Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.
Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.
Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.
Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Dakika, 47 Yanga wanapata penati.
Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.
Dakika 45 za kipindi cha
Kuna muujiza.....Ndiyo naingia wakuu nini kimetokea!!?
sidhani sanaHawa Tabora huwa sina bahati nao kabisa. Msimu uliopita nasikia walikaza sana mechi na Uto na sikuangalia game. Ngoja niwahi nicheki wanavyomkanda leo Deportivo la Utopolo
Supu aka Injection fcGoaaaaal tabora 2