Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Kumbe za ndaaani mpaka uwe kwenye kamati,,nimekupa iyo sasa ichukue,,na muda huu tunavyoongea unajua viongozi wako wako wapi?
Kama sio ile rangi ya kijani na njano kufanya maamuzi ya kumlinda mwenye jezi sare sare saa hii ingekuwa uhakika ni 100% derby ipo kati ya vyura na vyura princess.
 
bwana GENTAMYCINE unalizungumziaje hili
 
Kama sio ile rangi ya kijani na njano kufanya maamuzi ya kumlinda mwenye jezi sare sare saa hii ingekuwa uhakika ni 100% derby ipo kati ya vyura na vyura princess.
Ni kweli iyo rangi ilimlinda kwenye mechi 4 mfululizo kwa kutoa vipigo vitakatifu
 
Simba hawana chao na match leo itachezwa.✍️✍️
 
Karibu katika uchambuzi wa mubashara wa mchezo mkubwa nchini,Yanga vs simba utakaofanyika katika uwanja wa benjamin wiliamu mkapa jijini dar es salam majira ya saa 11kamili kwa saa za africa mashariki

ni mchezo muhimu kwa timu zote mbili kwani kila timu inauhitaji,licha ya kuwa kila timu inahtaji kulinda heshima na kuweka historia bali pia ni mchezo wa mwisho wa kwa timu zote mbili hivyo yeyote atakayeshinda ktk mchezo huu atatwaa ubingwa wa NBC PL msimu huu wa 2024/25

Yanga anahtaji angalau sare tu ili kunyakua ubingwa,huku simba ushindi pekee ndio utamuwezesha kuwa bingwa
licha ya kuwa ni mchezo mkubwa na muhimu kwa timu zote mbili kuna hathati kubwa simba wasitokee uwanjani,kwani kuna fununu kuwa baada ya mchezo huo kuahirishwa june 15 simba hawatambui mchezo wowote
karibu kwa updates
 
Kama hawezi chukua mlungula anachofanya anawabless wana wakitaani kwao odds ili waishi. Wachezaji wa West hawaaminiki wanacheza kamali sana pamoja na golikipa aliyekuwa fountain gates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…