Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Hahaha sio kwel bro , walale wengine mimi nikilala tu bills zinanilalia acha ninywe pombe
Shindiiπ€£π€£π€£π€£π€£
Sasa hasira za nini watani!!!!
Utamkaba mpanzu?Mimi nipo tayari kuhamia yanga kama mapori ni yakupewa tu
Mpanzu wa nyokweUtamkaba mpanzu?
Kwani uko na shida gani shindii!!Shindii
Nadaiwa bia tatu za safari na mhudumu shindiπKwani uko na shida gani shindii!!
NumbiLeo ndo nimeamini GSM astopishwe ana michezo mibaya sana anaharibu ligi imagine kila siku Yanga wanaibuka na ushindi mnono mbele yetu thithi makolo ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 3383020
Lete lipa nambaπ€£π€£π€£Nadaiwa bia tatu za safari na mhudumu shindiπ
Sina pesa ujueπLete lipa nambaπ€£π€£π€£
Derby imekosa mvuto na ushawishi. Lol
Kipenzi Changu mwamba nae kaingia kanya boyaMwasibu OKW BOBAN SUNZU uko wp