Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Table standings na numbers hazidanganyi.Anayeongoza anajulikana.
 
Kelele za tunamtaka Gamondi sasa kwishei
Baadhi ya mashabiki wa simba ndiyo waliokuwa wakimtaka huyo Gamondi. Ila kwa mashabiki wengi wa Yanga tulishagundua kitambo zama zake zilishapita pale Jangwani.
 
Washiba mihogo wameshasahau walikuwa wakilia na kutukana.Hawana jema hao Side akianza kuharisha matusi yatarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…