Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Pole mkuu, japo nimevutiwa na kipaji chako cha kulia live kwa njia ya maandishi.
Waliolia msimu huu mbona wanajulikana, tena walianza kulia mapema sana ligi ikiwa ndio kwanza imeanza, nasisitiza mwisho wa msimu tusisikie tu vile vilio vyenu vya magoli
 
Timu zote zinazofungwa na Yanga ni kama zinafanyq mazoezi, hazina nguvu zikifika katikati. Hazi kazi msuli kama zinavyccheza a Simba.
Yanga iweke akiba ya mshtuko ikikutana na team za Caf Championship
Mnachonishangaza nyie jamaa huwa mnaona kasoro za hizi timu tu ila hamuoni kabisa kiubora wameachwa mbali na Yanga.
 
Kumbe msimu uliopita ulikuwa kwenye mizigo maana hukuwepo business wala economy
 
Uuuuuuuwiiiiii! Kuna timu inatamani kukutana na hii Yanga??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…