Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Kujifariji ni muhimu sana, ajili ya afya za makolo.
 
Takwimu za Content kuhusu Yanga kwenye huu uzi zimeandikwa mara 21. Maana yake ukijumlisha na hii post yangu inakuwa jumla 22

Wakati Content zenye kuilenga Simba zimeandikwa mara 28 na hii post zinakuwa 29.

Hapo ukumbuke Simba hawahusiki kwenye hii mechi. Ni timu za chinichini huko kwenye msimamo ndio zimekutana lakini uzi hauwezi kwenda mjini bila kuitaja Simba.
 
toa ushamba wako humu
 
Hivi huyu mchezaji wa fountain aliyesema hivi anaitwa nani
Your browser is not able to display this video.
 
Ilikua iwe red card ila refa hamkumbuki aliyefanya faulo
 
Kocha nae anatuletea ungese, sisi tulitaka hat trick ya pili msimu huu,yeye anamtoa Pacome
 
Hao SI wana mwiko nyuma😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…