Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

mnaongoza ligina au mmekaimu ligi mtatoka hapo sasaivi.
 
Mimi ningekua beki wa IHEFU/SINGIDA FOUNTAIN GATE nisinge ruhusu mpira unizidi speed chuma Cha 5
 
Makolo waliokuja kuangalia game ya leo hadi huruma...kila chuma inayoingia...makolo wanalia kwanini Singida hawakabi 😜😜😜
 
mnaongoza ligina au mmekaimu ligi mtatoka hapo sasaivi.
Hiyo kanuni ya kukaimu ligi ni ya wapi, kwa sasa tunaongoza ligi na tunaingia mwaka 2025 huku tukiwa timu pekee yenye points 40 baada ya mzunguko wa kwanza wa ligi, baada ya kusema hayo naleta mic kwako ewe utopolo una lipi lingine la kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…