Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Yani mashabiki wa hii timu sijui mna akili gani mnapenda sana kujilalamisha kama watoto wa kambo na kujifanya victims, jana hapa hadi simba inafunga goli la pili hakukuwa na update yoyote wala live ila hakuna shabiki wa simba aliyeongea huu ujinga, nimeamini mashabiki wa yanga mmeanza kuchanganyikiwa na hamjiamini kila kitu mnaona kama mnaonewa na simba inapendelewa..pathetic!!
Usiwalaumu. Watoa vibuduz Supu bila ya kuona Live hawatoi ofa.

Sema yule mchungaji aliyemuombea Dube kawaonya mambo Yao ya kunywa supu za kafara yatawakosti.
 
Mpo online Uzi hamuweki live acheni dharau wakuu
Screenshot_20241222-165222.jpg
 
Imara ila ikija Tabora United mnasema wachezaji Wana uchovu
Usikariri maisha na Tabora kumfunga yanga ni sawa na mende kuangusha kabati kwenye Mpira matukio ya namna iyo uwa yanatokea mara Moja Moja,,na iyo aiondoi ubora wa yanga na usidhani kitu cha namna iyo kitatokea Tena ivyo msijibanze kwenye kivuli cha Tabora!
 
Nilimdharau Mpumelelo sikumdharau Pastor.

Kwa hiyo bado nasimama kwenye kauli yangu..

Ulimdharau kwa lipi ulitaka aendelee kuishi na majini yenu?
 
Back
Top Bottom