Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ona hii kijana ya Rage!Acheni kusumbua watu kwenye vitu vya kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona hii kijana ya Rage!Acheni kusumbua watu kwenye vitu vya kijinga
Uwezo ndio ushindwe kunifunga miaka 3 mkuu 😂 😁 😁Si ndio kama ulivyosema kuwa tuligawa point
Maana yake tuliwafanyia hisani baada ya nyie kushindwa kuzipata kupitia uwezo wenu.
Wanadharau sana hao jamaaModerator wameona hii mechi haina umuhimu. Ni kama ndondo Cup.
Azammvuto utapatikana siku akikutana na my wake
My wa Yanga siku zote ni makoloAzam
🐸My wa Yanga siku zote ni makolo
Halafu Kamanda ulitakiwa kuwa kwenye msafara wa kurejesha fomu na Kamanda Mkuu!! Badala yake uko huku kuishangilia Young Africans, timu ya Wananchi!!Hapa Aucho ilitakiwa apewe kadi ya njano. Si aende akacheze mieleka kama Mpira umemshinda?
Goli zuri. Ila ndiyo maana hii timu Iko kwenye mporomoko wa kushuka daraja.Bacca kambaaa
😃😄😀Scars alisema dube hamna kitu😂😂😁😁😁