Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

KANISA LINAITWAJE JAMAN NIENDE KUSAFISHA NYOTA NAONA YANGU WAMEICHINBIA
 
Kikubwa magoli 😃
Uto mkishinda mtakuwa na points sawa na Azam ila kwa mnyama kawaacha mbali kwa points na idadi ya magoli...

Endeleeni kugombania nafasi ya pili ila kuongoza ligi sahauni
 
Wajifariji tu hakuna namna
1000205115.jpg
 
Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela.

Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo mfululizo kwenye mechi mbili za nyuma za ligi kuu, je mashine kutoka ujerumani itaweza kufufua matumaini ya wananchi leo kutetea makombe yao kwa kupata alama tatu dhidi ya wajela jela au simanzi kuendelea ndani ya mtaa wa Twiga na Jangwani? Tukae sote kuzishuhudia dakika 90 za mtanange huu wa kukata na shoka hapo baadae saa kumi
Kikosi cha Yanga kinachoaanza leo:
Naona mmeamua kutuziba pumzi 😉😉😉
 
Back
Top Bottom