Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Huu uzi mbona hauonekani? Ni kama wachache ndiyo wanauona. Mchezo gani umefanyika hapa?

 
Mkifunga mnatidhikaa KUNA mwamba juu anawatamani kwenye magoli
 
Huku ligi ya ndani bona utopolo wanafunga ila kimataifa ni masikitiko kwa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…