FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa




Kumbe Ndiyo maana wengi wamejaa mapema ku pretend wivu kumbe ni ujinga mtupu [emoji108]

Inahitajika elimu ya psycholojia ya mahusiano ya mapenzi
 
Wana akili sasa ovyo ty...yupo mmoja kakubali kua kipoozeo kwa mme wa mty ili mradi ty awe anakula vzr, simu kali, anavaa vzr na kudangwanywa ntakutoa mke wa pili now unaend mwaka 3 amna ndoa
Kwanini asikatae alipotongozwa?

Especially Kama anajua kuwa jamaa ni mume wa mtu?

Labda kama hajui.
 
Ni kweli,nitakuwa simpendi kama kigezo cha upendo ni kupigana na mwanamke ambaye kuna uwezekano mkubwa alitongozwa na mume wangu ambaye anajua ana mke
Kwanza kupigana na mwanamke mwenzio kisa mume ni kumfanya huyo mwanaume avimbe kichwa kwa sababu anagombaniwa,mwanamke mwenye akili Huwa ana mute tu hata kama anajua kila kitu.

Maana hata akipigana na huyo mwanamke ,hiyo sio sababu ya mumewe kumuacha so ni Bora kutulia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…